Members Who Read Most Number Of Poems

Live Scores

Click here to see the rest of the list

What do you think this poem is about?

For Example: love, art, fashion, friendship and etc.

Nasikika Nikisema

Mpenzi, mbona wanitupilia mbali?
Na kuniacha katika ziwa la mashaka,
Kisha nikapata mawazo kwamba,
Nasikika nikisema
Labda kuna sababu,
Kuhusu hilo jambo,
Lakini ikiwa ni hivyo,
Nasikika nikisema
Hatua fanya nipate furaha,
Mpenzi, kwani kwangu kusikia uzoefu,
Angalau ningeambiwa nini kiendeleacho.
Nasikika nikisema

Submitted: Friday, December 27, 2013


Read this poem in other languages

This poem has not been translated into any other language yet.

I would like to translate this poem »

word flags

What do you think this poem is about?

Comments about this poem (Everybody Needs It by Masereka Amos )

Enter the verification code :

There is no comment submitted by members..
[Hata Bildir]