Mizani Poem by Joshua Tesha

Mizani

jicho si lake hilo
nimtu mtumwapo
umlizaye niulize nduguyo
huku mtwaa waliko
ampendae raha tabu ipo
shida nyigine hazinaga kingo
raha karaha..

haendage mkondo ni mto
pasipo shaka haidhuru mtoto
safi tena kumlundikia huko
mwepesi hajutae hajuae chanzo
roho haina chungu yake funzo
mbea anajua asie ni wewe kizito
raha karaha...

hanaye na baba na mamaye oo
umlezi wakuwa je umliko
panga upangue si vema oo
dunia majanga nyumba mchanga oo
ukimaliza uhai afrika chupa zipo
umliwaze umlizae mjukuu majuto
raha karaha...

kapenda kipofu macho mfuko
akili umeishika adabu kwako
maoimbi yake si bure zindiko
umfinyae akufinya umpulizie joto
elimu apatayo yapita ilizi zako
umganga ni mganga wakwako
raha karaha.

Wednesday, October 16, 2013
Topic(s) of this poem: SOCIAL
COMMENTS OF THE POEM
READ THIS POEM IN OTHER LANGUAGES
Close
Error Success